top of page

Ngoma mpya ya Danie mtalii

  • Writer: mutchiekaga
    mutchiekaga
  • Dec 27, 2019
  • 1 min read

https://youtu.be/w-63t4PACtE Bonyeza link hapo juu kuitazama Video. Samaki wa mapambo ni kivutio ambacho hulifanya ziwa Nyasa liwe la kipekee hasa katika suala la Utalii. Fukwe zake pia nzuri zinawafanya watalii na wasanii wazitumie vizuri katika kazi zao za kitalii na sanaa. Itazame Video mpya ya msanii kutoka Mbeya Daniel Mtalii Iliyofanywa katika fukwe za ziwa Hilo eneo la Matema. N Y A K I B O Y - M A N A F A K A

NyakyusaTrapWorldwide

 
 
 

Comentarios


bottom of page