Mh Raisi wa MAGUFULI kasajiri sasa wewe je
- mutchiekaga
- Dec 30, 2019
- 1 min read
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akisajili laini yake ya simu kwa alama za vidole katika duka la Airtel Money Branch mjini Chato, mkoa wa Geita, Desemba 27, 2019. #Airtel

nakuongeza diku 20 yasni zoezi limeongezewa muda hadi tarehe 20.01.2020 hivyo jambo hili siyo la utani utani kama watu wengi walivyodhanii hivyo wahi sasa kasajiri laini yako kwa mfuomo wa alama za vidole ili kuepuka usumbufu wa kufungiwa mawasiriano ya laini yako
Comentarios