top of page

HABARI ZA  KITAA

Tazama alichofanya GODZIL 

kwenye THE PLAYLIST ya TIMES FM

KINGUNGE akisimulia namna alivyong'atwa na mbwa siku chache kabla ya uaga dunia

J.K amwaga machozi kwenye msiba wa KINGUNGE

ALI KIBA azindua kinywaji chake cha 

ALI KIBA mo faya ni energy drink yaani ni kinywaji cha kuondoa uchovu

BOMA BOMOA TUKUYU

All Videos

All Videos

Watch Now
MASTORY YA TOWN

Kijana ambaye ni mkazi wa Vikindu mkoani Pwani,alidai alifanyiwa unyama huo na bosi wake ambaye ni raia wa China baada ya kumsakizia mbwa wanne.

https://youtu.be/PprFUZXnupM

GLOBAL HABAR

I:DIAMOND KORTINI SAKATA LA KUMTUNZA MTOTO WA MOBETO Sakata la matunzo ya mtoto lilikuwa kikiwakabili mastaa wawili Naseeb Abdul ‘Diamond’ na Hamisa Mobeto leo liliingia Mahakakama ya Kisutu jijini Dar kitendo cha Ustawi wa Jamii upande wa watoto ambapo wanahabari hawakuruhusiwa kuingia kusikiliza majadiliano hayo. Hata hivyo baada ya kumaliza majadiliano hayo Diamond alisema kikao hicho kilihusu malezi ya mtoto ambapo alisema wamekubaliana yeye na Mobeto kama wazazi washirikiane kumpa malezi bora mtoto huyo kwa faida yao wenyewe. Diamond amesema mtoto huyo ni wake hilo halina mjadala hivyo ni lazima ampe matunzo bora ingawa alisema awali Mobeto alikuwa akishawishiwa na baadhi ya watu amkomoe kupitia mtoto huyo ingawa hilo sasa limewekwa sawa. “Nitamlea mwanangu” Alimaliza kusema Diamond. Mobeto upande wake naye alisema kuwa suala la malezi ya mtoto huyo wameshalimaliza hivyo hakupenda kuongea zaidi na kuingia ndani ya gari alilokwenda nalo na kumuacha Baba Mtoto wake huyo viwanja vya mahakama hiyo

bottom of page