#Shambulio la kigaidi#Shambulio la kigaidi
- mutchiekaga
- Dec 30, 2019
- 1 min read
UPDATE: Kwa mujibu wa taarifa rasmi kutoka #Mogadishu nchini #Somalia, idadi ya waliofariki kutokana na mlipuko wa bomu lililotegeshwa kwenye gari imefikia watu 61
> Idadi ya majeruhi ni zaidi ya 50 mpaka sasa
#Shambuliolakigaidi

Comments