cocoa bora kutoka kyela
- mutchiekaga
- Dec 27, 2019
- 1 min read
KYELA INAZALISHA COCOA BORA DUNIANI.
Katika mashindano ya ubora yaliyofanyika Ufaransa yaingia 20 Bora kati ya nchi 226.
Hayo yamesemwa na waziri wa Habari Sanaa Utamaduni na michezo Dr.Harison Mwakyembe
alipokuwa akikabidhiwa cheti na watafiti wa zao hilo katika Kijiji Cha Mababu Mapema leo.

Comentários